-
Luka 12:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Angalieni vema jinsi mayungiyungi hukua; hayo hayamenyeki wala hayasokoti; lakini nawaambia nyinyi, Hata Solomoni katika utukufu wake wote hakupambwa kama moja kati yayo.
-