-
Luka 12:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Basi, ikiwa Mungu huivika hivyo mimea ya shambani, ambayo ipo leo na kesho hutupwa ndani ya jiko, je, hatawavika vizuri zaidi ninyi wenye imani ndogo?
-
-
Luka 12:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Ikiwa, basi, Mungu huvisha hivyo mimea shambani ambayo ipo leo na kesho hutupwa ndani ya joko, si zaidi sana atawavisha nyinyi, nyinyi wenye imani kidogo!
-