-
Luka 12:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 nanyi wenyewe mtakuwa kama watu wanaongoja bwana-mkubwa wao wakati arudipo kutoka kwenye ndoa, ili wakati wa kuwasili kwake na kubisha hodi wapate kumfungulia mara moja.
-