-
Luka 12:55Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
55 Nanyi mnapoona upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto sana,’ na inakuwa hivyo.
-
-
Luka 12:55Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
55 Nanyi mwonapo kwamba upepo wa kusini unavuma, nyinyi husema, ‘Kutakuwa na wimbi la joto,’ na hutukia.
-