-
Luka 13:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Isitoshe, watu watakuja kutoka mashariki na magharibi, na kutoka kaskazini na kusini, nao wataketi mezani katika Ufalme wa Mungu.
-
-
Luka 13:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Zaidi ya hilo, watu watakuja kutoka sehemu za mashariki na za magharibi, na kutoka kaskazini na kusini, nao wataegama kwenye meza katika ufalme wa Mungu.
-