-
Luka 14:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Naye aliyewaalika atakuja kukuambia, ‘Mwachie mtu huyu mahali ulipoketi.’ Kisha utaondoka kwa aibu na kuketi mahali pa chini kabisa.
-
-
Luka 14:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 naye aliyekualika wewe na yeye, atakuja na kukuambia, ‘Acha mtu huyu apate mahali hapo.’ Na ndipo wewe utakapoanza kuondoka kwa aibu kukalia mahali pa chini zaidi sana.
-