-
Luka 14:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Au mfalme akienda kupigana vita na mfalme mwingine, je, haketi kwanza na kufikiri iwapo akiwa na wanajeshi 10,000 anaweza kumshinda yule anayekuja akiwa na wanajeshi 20,000?
-
-
Luka 14:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Au ni mfalme gani, anayeenda kukutana na mfalme mwingine vitani, asiyeketi kwanza na kufanya shauri kama yeye aweza akiwa na askari elfu kumi kukabiliana na yule mtu ajaye dhidi yake pamoja na elfu ishirini?
-