-
Luka 14:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Ikiwa hawezi, basi yule mfalme mwingine akiwa bado yuko mbali sana, yeye huwatuma mabalozi ili kufanya amani.
-
-
Luka 14:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Ikiwa, kwa kweli, hawezi kufanya hivyo, basi yule awapo bado yuko mbali sana yeye hutuma nje baraza la mabalozi na kuomba amani.
-