-
Luka 16:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Basi akamwita na kumwambia, ‘Ni mambo gani haya ninayosikia kukuhusu? Lete rekodi za usimamizi kwa sababu huwezi tena kusimamia nyumba yangu.’
-
-
Luka 16:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Kwa hiyo akamwita na kumwambia, ‘Ni nini hili nisikialo juu yako? Toa hesabu ya usimamizi-nyumba wako, kwa maana huwezi tena kuisimamia nyumba.’
-