-
Luka 16:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kisha yule msimamizi akajiambia, ‘Nitafanya nini kwa kuwa bwana wangu ananiondoa kazini? Sina nguvu za kulima na ninaona aibu kuombaomba.
-
-
Luka 16:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Ndipo huyo msimamizi-nyumba akajiambia mwenyewe, ‘Nitafanya nini, kwa kuwa bwana-mkubwa wangu atauondolea mbali nami usimamizi-nyumba? Sina nguvu za kutosha kulima, naaibika kuombaomba.
-