-
Luka 17:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 “Ni nani kati yenu aliye na mtumwa anayelima shamba au kuchunga wanyama, ambaye akirudi kutoka shambani, atamwambia ‘Njoo upesi, keti ule chakula’?
-
-
Luka 17:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 “Ni nani kati yenu aliye na mtumwa anayelima kwa plau au anayetunza kundi ambaye atamwambia aingiapo kutoka kwenye shamba, ‘Njoo hapa mara moja uegame mezani’?
-