-
Luka 19:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi akashuka haraka na kumkaribisha kwa shangwe awe mgeni wake.
-
-
Luka 19:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Ndipo akafanya haraka akashuka chini akampokea kwa mshangilio awe mgeni-mwalikwa wake.
-