-
Luka 19:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Lakini raia zake walimchukia, nao wakatuma mabalozi wamfuate na kusema, ‘Hatutaki mtu huyu awe mfalme wetu.’
-
-
Luka 19:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini raia zake wakamchukia na kutuma baraza la mabalozi kumfuata, kusema, ‘Hatumtaki mtu huyu awe mfalme juu yetu.’
-