-
Luka 19:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Lakini mwingine akaja, akasema, ‘Bwana, hii hapa mina yako, niliifunga kwa kitambaa nikaificha.
-
-
Luka 19:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Lakini mwingine tofauti akaja, akisema, ‘Bwana, hii hapa mina yako, ambayo niliitunza ikiwa imehifadhiwa katika kitambaa.
-