-
Luka 20:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Ndipo mwenye kumiliki shamba la mizabibu akasema, ‘Nitafanya nini? Nitatuma mwana wangu mpendwa. Yaelekea watamstahi huyu.’
-