-
Luka 21:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Kwa maana wote hawa walizitumbukiza ndani zawadi kutokana na ziada yao, lakini mwanamke huyu kutokana na uhitaji wake alitumbukiza ndani njia yote ya kujipatia riziki aliyokuwa nayo.”
-