-
Luka 21:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 “Lakini kabla ya mambo yote hayo watu watawawekea mikono ili wawashike na kuwanyanyasa nyinyi, wakiwakabidhi nyinyi kwenye masinagogi na magereza, nyinyi mkiwa mnaburutwa mbele ya wafalme na magavana kwa ajili ya jina langu.
-