-
Luka 21:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Ole wa wanawake wenye mimba na wale wanaonyonyesha mtoto mchanga siku hizo! Kwa maana kutakuwa na uhitaji mkubwa juu ya nchi na hasira ya kisasi juu ya watu hawa;
-