-
Luka 21:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Watu watazimia kwa woga wakitarajia mambo yatakayotokea juu ya dunia inayokaliwa, kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.
-
-
Luka 21:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 huku watu wakizimia moyo kutokana na hofu na tarajio la mambo yanayokuja juu ya dunia inayokaliwa; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.
-