-
Luka 21:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Yesu alikuwa akifundisha hekaluni mchana, lakini usiku alienda kukaa kwenye Mlima wa Mizeituni.
-
-
Luka 21:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Kwa hiyo wakati wa mchana akawa akifundisha katika hekalu, lakini wakati wa usiku akawa akitoka kwenda na kukaa juu ya mlima uitwao Mlima wa Mizeituni.
-