-
Luka 22:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 kwa maana ninawaambia, kuanzia sasa sitakunywa tena divai ya mzabibu mpaka Ufalme wa Mungu utakapokuja.”
-
-
Luka 22:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 kwa maana nawaambia nyinyi, Kutoka sasa na kuendelea hakika mimi sitakunywa tena kutokana na zao la mzabibu mpaka ufalme wa Mungu uwasilipo.”
-