-
Luka 22:53Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
53 Nilipokuwa pamoja nanyi katika hekalu siku baada ya siku hamkunyoosha mikono yenu dhidi yangu kunishika. Lakini hii ndiyo saa yenu na ndiyo mamlaka ya giza.”
-