-
Luka 22:61Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
61 Na Bwana akageuka akamtazama Petro, na Petro akakumbuka tamko la Bwana alipomwambia: “Kabla jogoo hajawika leo utanikana mara tatu.”
-