-
Luka 23:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Watu wengi walikuwa wakimfuata, kutia ndani wanawake waliokuwa wakijipigapiga kwa huzuni na kumwombolezea.
-
-
Luka 23:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Lakini kulikuwa na umati mkubwa wa watu na wa wanawake ambao walimfuata waliofuliza kujipiga wenyewe kwa kihoro na kutoa sauti za kumwombolezea.
-