-
Luka 23:53Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
53 Naye akaushusha chini na kuufunga katika kitani bora, naye akamlaza katika kaburi lililochongwa katika mwamba, ambalo katika hilo hakuna mtu aliyepata kulala.
-