-
Luka 23:55Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
55 Lakini wale wanawake, waliokuwa wamekuja pamoja naye kutoka Galilaya, wakafuata nyuma wakalitazama kaburi la ukumbusho na jinsi mwili wake ulivyolazwa;
-