-
Luka 24:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 na walipokosa kuuona mwili wake, wakarudi wakisema pia waliona maono yasiyo ya kawaida ya malaika waliowaambia kwamba Yesu yuko hai.
-
-
Luka 24:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 lakini hawakupata mwili wake nao wakaja wakisema walikuwa pia wameona ono la malaika lizidilo nguvu za asili, waliosema yeye yuko hai.
-