-
Yohana 1:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 Akazidi kumwambia: “Kwa kweli kabisa nawaambia nyinyi watu, Mtaona mbingu imefunguliwa na malaika za Mungu wakipanda na kushuka hadi kwa Mwana wa binadamu.”
-