-
Yohana 2:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Msimamizi wa karamu alipoonja maji yaliyokuwa yamegeuzwa kuwa divai, bila kujua divai ilitoka wapi (lakini wahudumu waliokuwa wamechota maji hayo walijua), akamwita bwana harusi
-
-
Yohana 2:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Basi, wakati mwelekezi wa karamu alipoyaonja maji yaliyokuwa yamegeuzwa kuwa divai, lakini hakujua chanzo chayo kilikuwa nini, ijapokuwa wale wenye kuhudumia waliokuwa wamechota hayo maji walijua, mwelekezi wa karamu alimwita bwana-arusi
-