-
Yohana 3:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kwa kweli ninakuambia, yale tunayojua tunayasema, na yale ambayo tumeyaona tunatoa ushahidi kuyahusu, lakini ninyi hampokei ushahidi tunaotoa.
-
-
Yohana 3:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa kweli kabisa nakuambia, Yale tujuayo twasema na yale ambayo tumeona twatoa ushahidi juu yayo, lakini nyinyi watu hampokei ushahidi ambao twatoa.
-