-
Yohana 3:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa kweli kabisa nakuambia, Yale tujuayo twasema na yale ambayo tumeona twatoa ushahidi juu yayo, lakini nyinyi watu hampokei ushahidi ambao twatoa.
-