-
Yohana 3:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Yeye ambaye hudhihirisha imani katika yeye si wa kuhukumiwa. Yeye ambaye hadhihirishi imani amehukumiwa tayari, kwa sababu hajadhihirisha imani katika jina la Mwana mzaliwa-pekee wa Mungu.
-