-
Yohana 4:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Yeyote yule anywaye kutokana na maji ambayo hakika mimi nitampa hatapatwa na kiu hata kidogo, lakini maji ambayo hakika mimi nitampa yatakuwa katika yeye bubujiko la maji linalobubujika ili kutoa uhai udumuo milele.”
-