-
Yohana 4:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Kwa hiyo akaanza kuulizia habari kwao saa ambayo katika hiyo yeye alipata nafuu katika afya. Basi wakamwambia: “Jana kwenye saa ya saba homa ilimwacha.”
-