-
Yohana 6:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Yesu akasema: “Wafanyeni watu waegame kama kwenye mlo.” Basi kulikuwa na nyasi nyingi mahali hapo. Kwa hiyo wanaume wakaegama, idadi yao karibu elfu tano.
-