-
Yohana 6:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Fanyeni kazi, si kwa ajili ya chakula ambacho huharibika, bali kwa ajili ya chakula ambacho hudumu kwa uhai udumuo milele, ambacho Mwana wa binadamu atawapa nyinyi; kwa maana juu yake huyo, Baba, naam Mungu, ameweka muhuri wake wa kibali.”
-