-
Yohana 9:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Basi majirani na watu waliokuwa wakimwona akiombaomba wakaanza kuulizana: “Je, huyu si yule mtu aliyekuwa akiketi akiombaomba?”
-
-
Yohana 9:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Kwa hiyo majirani na wale ambao hapo zamani walikuwa na kawaida ya kumwona akiwa mwombaji wakaanza kusema: “Huyu ndiye mtu ambaye alikuwa na kawaida ya kuketi na kuombaomba, sivyo?”
-