-
Yohana 9:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Lakini hatujui jinsi alivyoanza kuona, wala hatujui mtu aliyemfungua macho. Muulizeni. Yeye ni mtu mzima. Anaweza kujieleza.”
-
-
Yohana 9:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Lakini jinsi aona sasa hatujui, au nani aliyemfungua macho yake sisi hatujui. Muulizeni yeye. Ana umri wa kutosha. Lazima ajisemee mwenyewe.”
-