-
Yohana 9:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa pamoja naye waliposikia mambo hayo wakamuuliza: “Je, sisi pia ni vipofu?”
-
-
Yohana 9:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Wale wa Mafarisayo waliokuwa pamoja naye wakasikia mambo haya, nao wakamwambia: “Sisi si vipofu pia, ama ndivyo?”
-