-
Yohana 11:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Hata hivyo, Yesu alikuwa akizungumza kuhusu kifo cha Lazaro. Lakini walifikiri anasema kuhusu kupumzika katika usingizi.
-
-
Yohana 11:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Hata hivyo, Yesu alikuwa amesema juu ya kifo chake. Lakini waliwazia alikuwa akisema juu ya kupumzika usingizini.
-