-
Yohana 11:55Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
55 Sasa sikukuu ya kupitwa ya Wayahudi ilikuwa karibu, na watu wengi walipanda kwenda kutoka hiyo nchi hadi Yerusalemu kabla ya sikukuu ya kupitwa kusudi wajisafishe wenyewe kisherehe.
-