-
Yohana 12:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa kweli kabisa mimi nawaambia nyinyi, Punje ya ngano isipoanguka kuingia katika ardhi na kufa, hiyo hubaki punje moja tu; lakini ikifa, ndipo hiyo huzaa matunda mengi.
-