- 
	                        
            
            Yohana 12:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
25 Yeye apendaye sana nafsi yake huiangamiza, bali yeye ambaye huchukia nafsi yake katika ulimwengu huu atailinda kwa uhai udumuo milele.
 
 -