-
Yohana 12:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Ikiwa yeyote angenihudumia, acha anifuate mimi, na nilipo mimi ndipo mhudumu wangu atakuwa pia. Ikiwa yeyote angenihudumia mimi, Baba atamheshimu yeye.
-