-
Yohana 12:48Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
48 Yeyote anayenipuuza na hapokei maneno yangu, ana wa kumhukumu. Neno ambalo nimesema ndilo litakalomhukumu katika siku ya mwisho.
-
-
Yohana 12:48Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
48 Yeye ambaye hunipuuza mimi na hapokei semi zangu ana mmoja wa kumhukumu. Neno ambalo nimesema ndilo litakalomhukumu katika siku ya mwisho;
-