-
Yohana 14:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Mimi nawaachia nyinyi amani, nawapa amani yangu. Mimi siwapi nyinyi hiyo kwa njia ile ambayo ulimwengu huitoa. Msiache mioyo yenu itaabishwe wala msiiache ikunyatike kwa sababu ya hofu.
-