-
Yohana 14:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Mlisikia kwamba niliwaambia, Ninaenda zangu nami ninakuja tena kwenu. Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninashika njia yangu kwenda kwa Baba, kwa sababu Baba ni mkubwa zaidi kuliko mimi.
-