-
Yohana 15:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Ikiwa yeyote hakai katika muungano pamoja nami, atatupwa kama tawi kisha atakauka. Nao watu hukusanya matawi hayo na kuyatupa ndani ya moto, nayo huteketea.
-
-
Yohana 15:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Ikiwa yeyote hakai katika muungano na mimi, yeye hutupwa nje kama tawi na hukauka kabisa; na watu hukusanya matawi hayo na kuyatupa ndani ya moto nayo yanachomwa.
-