-
Yohana 15:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Mkishika amri zangu, mtakaa katika upendo wangu, kama vile ambavyo nimeshika amri za Baba na kukaa katika upendo wake.
-
-
Yohana 15:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Mkishika amri zangu, mtakaa katika upendo wangu, kama vile mimi nimeshika amri za Baba na kukaa katika upendo wake.
-