-
Yohana 15:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Siwaiti ninyi tena watumwa, kwa sababu mtumwa hajui mambo ambayo bwana wake hufanya. Lakini nimewaita rafiki, kwa sababu nimewajulisha mambo yote niliyosikia kutoka kwa Baba yangu.
-
-
Yohana 15:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Siwaiti nyinyi tena watumwa, kwa sababu mtumwa hayajui yale afanyayo bwana-mkubwa wake. Lakini nimewaita nyinyi marafiki, kwa sababu mambo yote ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba yangu nimewajulisha nyinyi.
-